Thursday, March 5, 2009


Taifa Tanzania
TUJENGE NCHI SISI WENYEWE,





SERIKALI Itakuja Kutoa usimamizi wa sheria na kukusanya kodi SAHIHI

Wanahitajika Watanzania wenye nia na Ari ya kujenga Nchi.
Kuna mji mpya(ChinaTown) unaanzishwa kwa ajili ya kuleta wafanyabiashara kutoka china.
Patakuwa na Soko huria la bidhaa zote halali(Orignal) kutoka china.Bidhaa zote zitaingizwa nchini bila Kodi.Kodi inalipwa wakati bidhaa inanunuliwa (wholesale).
Mji-Soko wa ChinaTown utajengwa mkoa wa Pwani.
WAZALENDO WENYE UWEZO WA KUSHIRI MNAKARIBISHWA
Tafadhali Tutumie e-mail
Jina lako, Business name, Taaluma yako,
e
mail na namba ya simu
tunakaribisha michango ya mawazo
na jinsi kuendeleza mikoa mingine ya tanzania kibiashara

taifatanzania@gmail.com