Thursday, March 5, 2009
Taifa Tanzania
TUJENGE NCHI SISI WENYEWE,
SERIKALI Itakuja Kutoa usimamizi wa sheria na kukusanya kodi SAHIHI
Wanahitajika Watanzania wenye nia na Ari ya kujenga Nchi.
Kuna mji mpya(ChinaTown) unaanzishwa kwa ajili ya kuleta wafanyabiashara kutoka china.
Patakuwa na Soko huria la bidhaa zote halali(Orignal) kutoka china.Bidhaa zote zitaingizwa nchini bila Kodi.Kodi inalipwa wakati bidhaa inanunuliwa (wholesale).
Mji-Soko wa ChinaTown utajengwa mkoa wa Pwani.
WAZALENDO WENYE UWEZO WA KUSHIRI MNAKARIBISHWA
Tafadhali Tutumie e-mail
Jina lako, Business name, Taaluma yako,
e mail na namba ya simu
tunakaribisha michango ya mawazo na jinsi kuendeleza mikoa mingine ya tanzania kibiashara
taifatanzania@gmail.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
2 comments:
nimekubali mawazo yako ndugu yangu mie nami nipo china tatizo watanzania hatunaga tusilo lumbana wengi wanalumbana kule issa blog bila kujua wanafanya nn kuhusu china
Wazo zuri sana,tuharakishe kable kenya,Mozambique hawaja tuwahi kuanzisha china town,kwani wana bandari nzuri kama sisi,
mtwara port or Tanga port would be a good place kuweka huu mji wa wachina
Post a Comment